Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka
ya Usimamizi na Udhibiti wa Hifadhi za Jamii (SSRA), Irene Isaka akizungumza
wakati wa uzinduzi wa program ya Mwanamke wa Wakati Ujao jijini Dar es Salaam.
|
Ofisa Mtendaji Mkuu wa
Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumza katika uzinduzi
huo.
|
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari
ya Dawa (MSD), Laurean
Bwanakunu akizungumza na washiriki katika hafla hiyo.
|
Meneja Vipaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Lilian Makau
Galinoma akizungumza na washiriki wa program hiyo ilipozinduliwa jijini Dar es
Salaam.
|
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simba Cement, Reinhardt Swart
(kushoto), akifurahi na baadhi ya washiriki na waandaaji wa uzinduzi huo.
|
Baadhi ya washiriki wa program hiyo wakisikiliza hotuba ya
ufunguzi wa program ya Mwanamke wa Wakati Ujao jijini Dar es Salaam.
|
Baadhi ya washiriki wa program ya Mwanamke wa Wakati Ujao
(Female Future) wakihudhuria hafla ya uzinduzi jijini Dar es Salaam.
|