Meneja
masoko wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Alina Maria Kimaryo (wa pili kushoto)
akizungumza wakati wa droo ya kwanza ya promosheni ya Kampeni ya akaunti za
mishahara iliyopewa jina la ‘Mcheza Kwao’
jijini Dar es Salaam leo. Washindi 35 walijishindia zawadi mbalimbali za fedha
taslimu na ofa za huduma ya mobile banking ya NBC. Kutoka kushoto ni Meneja
katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Dorothea Mabonye, Meneja
Malipo ya Mishahara wa benki hiyo, Amos Lyimo na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya
Kubahatisha, Humudi Abdulhussein. |