Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh,
Balozi Seif Ali Iddi, wa tatu toka kushoto, mstali wa mbele , akiwa katika
Picha ya pamoja na Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika mashariki
mara baada ya kufungua rasmi Mkutano wa kikanda uliozungumzia changamoto za
ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo
2050 mkutano huo ulifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini
Dar es Salaam.
|
No comments:
Post a Comment