Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania akutana na wateja wa benki hiyo jijini Mwanza.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks,
akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza hivi karibuni katika
hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na NBC hivi
karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya NBC Tanzania Edward Marks
(wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wao wa Jiji
la Mwanza katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na benki hiyo hivi
karibuni.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks
(wa pili kulia) akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini
Mwanza kuhusu jinsi NBC ilivyojipanga kuhakikisha wateja wao wanapata
huduma bora
na za uhakika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks
(kushoto) akimsikiliza mmoja wa wateja wa benki hiyo jijini Mwanza katika
hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na NBC hivi
karibuni akitokea Benki ya Barclays nchini Misri.