1.
Senior
Urban Expert, World Bank Tanzania, Andre Bald, akifaonyesha moja ya ramani ya
Manispaa za jiji la Dar Es Salaam, wakati wa Mkutano wa Kikanda unaokutanisha
Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika mashariki , unaozungumzia
changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika
mpaka ifikapo 2050, katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es
Salaam.
|