: Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Edward
Marks (katikati, mwenye suti nyeusi) akishiriki mlo wa futari
waliyowaandalia wateja wao na wageni wengine waalikwa jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia kwake ni Kaimu Mufti wa Tanzania, Shehe
Abubakar Bin Zubeir Bin Ali, Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dk. Kassim Hussein na
kushoto kwa mkurugenzi ni Ofisa Fedha Mkuu wa benki hiyo, Jaffari Matundu.
|