KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Tuesday, December 16, 2014

SBL YAZINDUA CHUPA MPYA “TUSKER 330ML” SOKONI

 
1.    Wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti wakisikiliza jambo wakati wa uzinduzi wa Chupa mpya ya Tusker yenye mililita 330, katika halfa iliyofanyika leo katika ukumbi wa Golden Jubilee jijini Dar es Salaam.

 
1.    Mkurugenzi Masoko wa kampuni ya bia Serengeti, Bw.Ephraim Mafuru , akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa chupa mpya ya bia ya Tusker yenye ujazo wa milimita 330, hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.

1.    Wahudumu wa kampuni ya bia ya Serengeti wakionyesha mwonekano wa chupa mpya ya bia ya Tusker yenye ujazo wa ml 330 .

 
1.    Kikundi cha sanaa cha Dar es Salaam Dance international(DDI) kikifanya vitu vyake wakati wa uzinduzi wa chupa mpya ya bia ya Tusker.

.Wafanyakazi wa kampuni ya bia ya Serengeti wakiwaonyesha waaandishi wa habari , hawapo pichani, mwonekano mpya ya Bia ya Tusker yenye ujazo wa mlimita 330.


. Meneja masoko-Familia ya bia ya Tusker na Pilsner kampuni ya bia ya Serengeti, Anitha Msangi akiongea na waandishi wa habari , mara baada ya uzinduzi wa chupa mpya ya Tusker yenye ujazo wa mililita 330.

 
. Meneja masoko-Familia ya bia ya Tusker na Pilsner kampuni ya bia ya Serengeti, Anitha Msangi akiongea na waandishi wa habari , mara baada ya uzinduzi wa chupa mpya ya Tusker yenye ujazo wa mililita 330.

 
tunafurahia mwonekano mpya wa chupa ya bia ya Tusker.


 
Meneja masoko wa familia ya bia ya Tusker na Pilsner, Anitha Msangi (kushoto) na Mkurugenzi wa masoko, Bw.Ephraim Mafuru katikati na Meneja ubunifu wa bidhaa zote za kampuni ya bia ya Serengeti Ms. Attu Mynah wakionyesha chupa mpya ya bia ya Tusker kwa waandishi wa habari hawapo pichani