1.
Mkaguzi
toka Pricewatercoopers, Golder Kamuzora akithibitisha namba ya mshindi wa Limo
bajaji, wakati wa kuchezesha droo ya kumtafuta mshindi wa pili wa limo bajaj,
katikati ni Meneja wa Bia chapa ya Serengeti, Rugambo Rodney na kulia ni
Mkaguzi toka bodi michezo ya kubahatisha
, Abdallah Hemedy, hafla hiyo ilifanyika Serengeti mjini Dar es Salaam.
|