Mkurugenzi mkuu wa B Pesa, Sean Merali,(kushoto)
kamanda wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, Suleimani kova, wa pili kushoto , na
mkurugenzi wa I & M Banki , Michael Shirima, wa tatu toka kushoto, na Shameer
Patel, Meneja mkuu wa I & M Benki wa pili kushoto wakikata keki kama ishara
ya uzinduzi wa ushirikiano mpya kati ya B Pesa na I &M benki ,ambapo
ushirikiano huo utaongeza ufanisi wa kuwafikia wateja wao kiurahisi kwa taasisi
hizo mgeni rasmi katika hafla hiyo alikua ni kamanda wa kanda maalumu ya Dar es
Salaam , Suleiman kova, hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Serena Dar es Salaam. |