1.
Meneja
wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani),
wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya Tutoke na Serengeti, ambapo Rukia
Athuman Almas toka Morogoro ameibuka mshindi wa kwanza na kujinyakulia Limo
Bajaji mpya yenye thamani ya Sh. Milioni 9. Kushoto ni mkaguzi toka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha,
Bakari Maulid. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Serengeti jijini Dar es
Salaam.
|