KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Sunday, November 23, 2014

PUMZIKA KWA AMANI BARAKA KALASHANI

.Baba na mama wa Baraka kalashani wakitoa heshima ya mwisho kwa nyumbani kwao Ubungo jijini Dar es Salaam

.Mke na watoto wa maerehemu Baraka kalashani wakiaga mwili kabla ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya kinondoni jijini Dar es Salaam.

 ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamebeba jeneza lenye Mwili wa Baraka karashani katika makaburi ya kinondoni Tx tayari kwa mazishi

Ndugu wa marehemu wakiweka udongo  

.Mchungaji   akipanda msalaba baada ya mazishi ya Baraka Kalashani yaliyofanyika katika makaburi ya kinondoni Tx jijini Dar es Salaam.

Pichani mke na watoto wa marehemu Baraka Kalashani wakiweka shada la maua katika kaburi , mara baada ya mazishi katika makaburi ya kinondoni Tx jijini Dar es Salaam.

 
Bwana alitoa na bwana ametwa , jina la bwana lihimidiwe. Amen