KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Sunday, May 31, 2015

MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA NBC AKUTANA NA WAFANYAKAZI NA KUWEKA MIKAKATI YA KIUTENDAJI .

 Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks
(kushoto) akizungumza ana baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo
alipokutana nao kujitambulisha na kuweka mikakati ya kiutendaji. Halfa
ilifanyika jijini Dar es Salaam


 Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks
(wa pili kushoto) akizungumza na baadhi ya maofisa pamoja na
wafanyakazi wengine wa benki hiyo alipokutana nao kujitambulisha na
kuweka mikakati ya kiutendaji na kimaendeleo.

 Ofisa Fedha Mkuu wa Benki ya NBC, Jaffari Matundu akitoa taarifa
mbalimbali za utendaji katika idara yake wakati wa mkutano huo ambapo
pia Mkurugenzi Mtendaji huyo mpya, Edward Marks alitambulishwa na
kukaribishwa.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa benki hiyo, Pius Tibazarwa
(katikati) akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa benki hiyo ili
kuzungumza na wafanyakazi.

Baadhi ya wafanyakazi wa NBC wakiuliza maswali kwa mkurugenzi wao
mpya wakati wa mkutano huo.

Baadhi ya wafanyakazi wa NBC wakimsikiliza  Mkurugenzi Mtendaji
mpya wa benki hiyo walipokutana naye jijini Dar es Salaam.