KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Sunday, November 16, 2014

NDOA YA BWANA ONESMO LAUWO NA BI REHEMA

Bwana na Bi, Onesmo Lauwo wakipoz kwa picha ya pamoja mara baada ya kufunga Ndoa yao Takatifu katika kanisa la KKKT Usharika wa Yombo Dovya, na kufuatiwa na tafrija ya kuwapongeza iliyofanyika katika Ukumbi wa TZR jijini Dar es Salaam.

Bwana Onesmo akimvisha Pete mke wake kama ishara ya Upendo na uaminifu wake kwake.

 
.Rehema akimvisha Pete bw. Onesmo kama ishara ya uaminifu wake kwake.

 
Ni wakati wa kuweka sahihi katika vyeti vya ndoa.


Ni wakati wa kuweka sahihi katika vyeti vya ndoa.