Mwanamuziki
mkongwe hapa nchini Komandoo Hamza Kalala `Mzee wa Madongo' (kushoto)
akizungumza leo na waandishi wa habari wakati akijitambulisha kujiunga na kundi
Utalii Sound Band. Kalala ameshapitia bendi za Uda Jazz, Vijana Jazz,
Washirika, Bantu Group `Kasimbago Kaabuka' (Picha na Cosmas Mlekani)
|