KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Wednesday, November 5, 2014

KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAZINDUA SHINDANO KUBWA KWA WANYWAJI WAKE



Mkurungezi mkuu wa B. Pesa, Robert Boniface, akiwaelezea waandishi wa Habari hawapo Pichani, namna kampuni hiyo inavyoshiriki katka shindano la Chini ya Kizibo (Tutoke na Serengeti) wakati wa mkutano na waandishi uliofanyika katika ofisi za kampuni hiyo Shekilango jijini Dar es Salaam.


 
Meneja masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Allan Chonjo (kushoto) akieleza waandishi wa habari namna kampuni ya Bia ya Serengeti ilivyojiaandaa kikamalifu na zawadi kibazo na Shindano lijulikanalo kama, Chini ya kizibo ( tutoke na Serengeti)

 
Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Ephraim Mafuru, (Kulia) akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani  juu ya Uzinduzi wa shindano lijulikanalo kama, Chini ya kizibo ( tutoke na Serengeti), ikishirikiana na B Pesa, ambampo washindi watapelekwa Mbuga za wanyama, katikati ni Mkurungezi mkuu wa B. Pesa, Robert Boniface na kushoto ni Meneja masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Allan Chonjo. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya B Pesa, shekilango jijini Dar es Salaam.

 
Mkurungezi mkuu wa B. Pesa, Robert Boniface, katikati na Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Ephraim Mafuru, (Kulia) wakishikana mikono kama ishara ya kuungana pamoja katika kampeni ijulikanayo kama , Chini ya kizibo ( tutoke na Serengeti)
Hafla hiyo ilifanyika ndani ya  ofisi za B Pesa  shekilango jijini Dar es Salaam.

 
Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Ephraim Mafuru, akiendesha moja ya Bajaj ambazo zitashindaniwa katika shindano lijulikanalo kama Chini ya kizibo ( tutoke na Serengeti), wa pili nyuma ni Mkurungezi mkuu wa B. Pesa, Robert Boniface

No comments:

Post a Comment