|
Muda umefika
sasa wa Michael kuoa, akiingia kanisani kwa mzee wa Upako.
|
|
Mr and Mrs
Michael wakipoz na maids na Flowerboys
|
|
. Michael na
mariagrace wakipoz kwa Picha na Mr and Mrs Pasco
|
|
Muda wa
mariagrace kuolewa sasa , akiingia kanisani tayari kwa ndoa.
|
|
Michael akimfunua
bi harusin kabla ya ndoa kufungwa kwa mzee wa upako.
|
| . Pokea Pete hii iwe ishara ya uaminifu wangu kwako. |
| . Pokea Pete hii iwe ishara ya uaminifu wangu kwako. |
| wakisaini shahada za ndoa |
| wakisaini shahada za ndoa |
| Wakipokea shahada zao za ndoa |
| Wakipokea shahada zao za ndoa |