Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Pius Tibazarwa (kulia)
akikabidhi cheti kwa James Swai, mmoja wa wafanyakazi wa benki hiyo
katika kitengo cha ufunguaji wa akaunti kwa ajili ya ufanisi wake bora
katika,usaidia Idara ya Huduma za Kibenki kwa Makampuni wakati wa
hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha
Huduma kwa Wateja cha NBC, Ngwitika Mwakahesya na maofisa wengine wa benki
hiyo.
|