Ajali mbaya imetokea eneo la daraja la Wami basi la
Simba Mtoto na Lori baada break za Lori kufeli, Dereva wa Lori amepoteza maisha hapohapo. |
.Basi la Simba mtoto linalofanya
safari zake kati ya Dar na Tanga likiwa limegongana uso kwa uso na Lori la
mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani,dereva wa lori hilo
amefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.tutaendelea kupeana taarifa zaidi
hapo baadae.
3.
No comments:
Post a Comment