kuelekea Makaburi ya kinondoni TX , ambako mwili wa marehemu Anna Philip Mach utalala. |
Baadhi ya ndg jamaa na marafiki wakitoa Heshima ya mwisho. |
Kuelekea makaburini |
Ndg Jamaa na marafiki wakifuatilia Ibada ya Mazishi |
Wacha tuchukue kumbukumbu |
Baba wa Marehemu Anna akisogea karibu na kaburi |
Jeneza lenye mwili wa marehemu likishushwa katika Kaburi. |
Mzazi mwenzie na Marehemu Anna kaiweka udongo |
Mtoto wa marehemu pamoja na ndg zake wakifuatilia Ibada ya mazishi ya Anna |
Mzee Philip Macha na mke wake wakiweka shada la maua kwa kaburi la mtoto wao ANNA |
Watoto wa marehemu wakiweka shada la Maua |
Picha ya pamoja |
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana rihimidiwe. Amen |
No comments:
Post a Comment