KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Thursday, October 16, 2014

YANGA IKIJIANDAA KUMUA MNYAMA........!

Mcheza wa zamani wa Yanga Shadrack Nsajigwa (kulia) ambaye pia ni Kocha msaidizi wa timu hiyo , akitoa maelekezo wakati wa mazoezi ya yanga kwenye uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.

Kocha mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, kulia, akifanya mazoezi na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo katika Uwanja wa Boko Veterani, wakijiandaa na mpambano zidi timu ya Simba utakaofanyika Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
                   

Mcheza wa zamani wa Yanga Shadrack Nsajigwa katikati aliyenyosha mkono ambaye pia ni Kocha msaidizi wa timu hiyo , akitoa maelekezo wakati wa mazoezi ya yanga kwenye uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.

 



Baadhi ya Mashabiki wa timu ya Yanga wakifuatilia mazoezi ya timu hiyo katika Uwanja wa Boko Veterani, ambapo timu hiyo inajiandaa kuchuana na Timu ya Simba katika Uwanja wa Taifa wa jijini Dar es Salaamn.