KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Thursday, October 2, 2014

MWONEKANO MPYA WA TUSKER LAGER


1. Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Efrahim Mafuru , akiongea na waandishi wa Habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Bia ya Tusker ujulikanao kama Fanya kweli . hafla ya uzinduzi huo ulifanyika katika Ukumbi wa Dunkan  jijini Dar es Salaam.



Mkurugenzi wa kampuni ya Bia ya Serengeti, Steven Gannon (kulia) akimsikiliza Msanii, Moses Sande a.k.a Vipaji Vingi wakati alipokua akitumbuiza katika uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama  Fanya kweli , katika Ukumbio wa Dunkan jijini Dar es Salaam.


. kutoka kulia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Bia ya Serengeti, Steven Gannon, Meneja wa Bia ya Tusker, Stalovise Shayo, Meneja Masoko, Anitha Msangi na Mkurugenzi wa masoko, Ephraim Mafuru, wakionesha waandishi wa habari hawapo Pichani mwonekano mpya wa Bia ya Tusker  wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Fanya kweli katika Ukumbi wa Dunkan Mikocheni jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Efrahim Mafuru katikati akiongea na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Fanya kweli, kulia ni Meneja wa Bia ya Tusker, Stalovise Shayo na kushoto ni , Meneja Masoko, Anitha Msangi, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Dankan Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Issa Masoud, kulia akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Tusker Fanya kweli, iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunken Mikocheni jijini Dar es Salaam.

 
Meneja Masoko wa Tusker Lager, Anitha Msangi akifafanua jambo kwa  waandishi wa habari , katikati ni Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Efrahim Mafuru na Meneja wa bia ya Tusker Lager Stalovise Shayo

 
Meneja wa bia ya Tusker Lager Stalovise Shayo akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa kampeni ya inayojulikana kwa jina la Fanya kweli Tusker, iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunkan Mikocheni jijini Dar es Salaam.


Msanii Moses Sande a.k.a Vipaji vingi, (kulia) akimuelekeza Meneja Masoko wa Bia bia ya Serengeti, Allan Chonjo namna ya upigaji Gita wakati wa uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Tusker Fanya kweli, iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunken Mikocheni jijini Dar es Salaam.


Waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Tusker Fanya kweli, iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunken Mikocheni jijini Dar es Salaam.


Wacheza show wakifanya vitu vyao wakati wa Uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Fanyakweli na Tusker iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunkan Mikocheni Jijini Dar es Salaam.



 
12Wawakilishi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti  wakishika kinywaji aina ya Pombe ya Tusker yenye mwonekano mpya wakati wa Uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Fanyakweli na Tusker iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunkan Mikocheni Jijini Dar es Salaam.


Msanii Shani Charles akifanya vitu vyake wakati wa Uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Fanyakweli na Tusker iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunkan Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

 
Msanii Moses Sande a.k.a Vipaji vingi, akiburudisha waandishi wa habari Uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Fanyakweli na Tusker iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunkan Mikocheni Jijini Dar es Salaam.

 
. Staff wa Kampuni ya Bia ya Serengeti wakipozi kwa Picha wakati Uzinduzi wa kampeni ijulikanayo kama Fanyakweli na Tusker iliyofanyika katika Ukumbi wa Dunkan Mikocheni Jijini Dar es Salaam.