.Baadhi ya
washiriki wa mbio za kilometa 21, ya Dar Rotary Marathon wakichuana katika
mashindano hayo.
|
Mshindi wa
mwaka huu wa mbio za kilometa 21 za Dar Rotary Marathon, Dickson Marwa
(kushoto) akichuana vikali na washiriki wengine wakati katika mbio hizo .
|
Watoto nao
hawakua nyuma katika mashindano ya Dar Rotary Marathon yaliyofanyika jijini.
|
Mshiriki wa
Dar Rotary Marathon, Musa Salum, akikokota Baiskeli baada ya kuharibika wakati
wa mashindano hayo.
|
Mshindi wa
pili wa mbio za Kilomneta 21 za Dar Rotary Marathon, Catherine Range akisaidiwa
baada ya kumaliza mbio hizo.
|
Baadhi ya
washiriki wa Dar Rotary Marathon,
wakipoz kwa Picha na sanamu ya mashindano hayo.
|
. Mshindi wa
mbio za Biskeli za kilometa 21 za Dar Rotary Marathon, Omary Juma, akipokea
kikombe, kama alama ya Ushindi huo.
|
Mshindi wa
mbio za Biskeli za kilometa 21 za Dar Rotary Marathon, Omary Juma, akifurahia
baada ya kupokea kikombe kama alama ya Ushindi huo.
|
Mshindi wa
Mbio za Baiskeli za kilometa 21 kwa
washiriki wenye umri mdogo za Dar Rotary Marathon akipokea kikombe toka kwa
Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi .
|
No comments:
Post a Comment