Adria akipozi kwa Picha |
Baadhi ya
ndg wa Adria wakifuatilia jambo wakati wa kitchen party iliyofanyika katrika
ukumbi wa Dubble D, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
|
. Bi Adria akiingia ukumbini |
Mwenyekiti
wa kamati ya maandalizi ya kitchin party ya Adria, akitoa neon la makaribisho.
|
Adria akikata keki ya Upendo |
Add caption |
Ma Editha
(kulia) akimkabidhi glass bi Adria tayari kwa ufunguzi wa Champagne.
|
Cheers mama |
mmoja wa
wanakamati akiteta jambo na Bi Adria
|
.Mama Peter akimfunda bi Adria katika kitchen party |
Qaitor
|
Mambo ya burudani toka kwa Dj Rama. |
Kamati ya maandalizi |
Familia ya
Bi Adria katika Picha ya pamoja
|
Eeeeeeh
jamani zawadi zake nzuri…..!
|