KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Friday, September 12, 2014

MSIKITI WA MTAMBANI WATEKETEA KWA MOTO TENA

Baadhi ya waumini wa Msikiti wa Mtambani wakiokoa baadhi ya vitu , mara baada ya msikiti huo kuwaka moto , chanzo cha moto huo hakijalikana. Juhudi za waumini wa msikiti huo na wasamalia wema zilifanikisha kuzima moto huo.

Sehemu ya nyuma ya Msikiti wa Mtambani maarufu kama Mivumoni ikifuka moshi, baada ya msikiti huo kushika moto na kuwaka kwa mara ya Pili katika kipindi kifupi cha mwezi huu, chanzo cha moto hakikujulikana mara moja.

Fundi Umeme akitenganisha waya baada ya Msikiti wa Mtambani kushika mot leo, kabla ya swara ya Ijumaa kuanza.

Wasamaria wema wakifanya juhudi za kuzima moto katika msikiti wa mtambani baada ya kuzuka kwa moto ambao chanzo chake hakukujuklikana mara moja.

Wasamaria wema wakifanya juhudi za kuzima moto katika msikiti wa mtambani baada ya kuzuka kwa moto ambao chanzo chake hakukujuklikana mara moja.