Afisa mahusiano najamii wa kampuni ya Tanga cSimenti , Mtanga Noor akiongea na Wakati wa hafla hiyo |
Mratibu Elimu kata akifafanua jambo katika uzinduzi wa Maktaba katika Shule ya Sekondari Mingoyo mjini Lindi |
Sasa nazindua Rasmi kwa kukata utepe |
Tutasoma mpaka kieleweke |
tunashukuru sisi wanafunzi wa Mingoyo Sekondari kwa Maktaba hii |
Asanteni sana sasa wanafunzi wangu watasoma na kuongeza ufaulu |
tuendelee kujitoa kwa jamii jamani. |
No comments:
Post a Comment