KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Thursday, June 4, 2015

SOKO LA KINONDONI MTAMBANI DAR, LATEKETEA KWA MOTO NA KUSABABISHA HASARA KUBWA…!

 
   Soko la  kinondoni mtambani ambalo limeteketea kwa moto usiku wa jana.

 
   Baadhi ya wakazi wa jiji wakiangalia mabaki ya vitu katika soko la kinondoni Mtambani lililoteketea kwa moto usiku wa jana.

 
1.    Baadhi ya wafanyabiashara katika soko la kinondoni mtambani wakijaribu walau kuokota baadhi tu mali zao

 
 Hizi ni baadhi tu mali zilizoteketea kwa moto katika soko la kinondoni mtambani jana usiku.

 
Hizi ni baadhi tu mali zilizoteketea kwa moto katika soko la kinondoni mtambani jana usiku.



1.    Wakazi wa jiji la Dar es Salaa ,wakiangalia mabaki katika soko la kinondoni mtambani baada ya kuteketea kwa moto, ambapo chanzo chake kinasemekana ni hitirafu ya umeme .







mali zilizoteketea kwa moto