Mwenyekiti wa kamati ya Mbio za
Mbuzi, Bi. Karen Stanley akihojiwa na waandishi wa habari wakati wa mashindano
hayo.
|
Mbuzi wakimalizia mbio zilizoitwa
‘The CBA Sparkers’ wakati wa mashindano hayo zilizodhaminiwa na benki ya
CBA.
|
Meneja Masoko Msaidizi wa Kampuni ya
Toyota Tanzania, Eliavera Timoth akikabidhi cheti kwa Mwakilishi wa Shule ya
Mt. Paulo ya Kibaigwa, Wilfred Muhogolo (kushoto), ambao ni baadhi ya
wanufaika wa fedha zilizopatikana katika mashindano ya mwaka huu yam bio za
mbuzi.
|