BENKI YA NBC YASHINDA TUZO YA SUPERBRAND AFRIKA MASHARIKI
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kulia) akipokea tuzo ya ubora ya
Superbrand ya Afrika Mashariki kutoka
kwa Mkurugenzi Mradi wa Taasisi ya Superbrands Ukanda wa Afrika, Jawad Jaffer katika
hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Kaimu Mkuu wa Masoko
na Mawasiliano wa NBC, Rukia Mtingwa.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks akizungumza katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania,
Edward Marks (wa pili kulia) akiwa na
baadhi ya washindi wengine wa tuzo za Superbrands katika hafla hiyo.