Meneja Mawasiliano ma Huduma za
Jamii wa Tanga Cement Plc, B. Mtanga Noor (kushoto) akizungumza wakati
wakikabidhi msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya sh milioni 17 kwa ajili
ya wahanga wa mafuriko yaliyotokea wilayani Kahama hivi karibu. Hafla hiyo
ilifanyika Kahama, Shinyanga juzi. Kushoto kwake ni Meneja Biashara wa
Tanga Cement, Mattheus Roos na Meneja Mauzo Taifa wa kampuni hiyo, Leslie
Massawe na baadhi ya wafanyakazi wenzao.
|