|
Afisa
mtendaji mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa maendeleo Endelevu, Joseph
Semboja, (Kulia) akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh, Balozi
Seif Ali Iddi, (kushoto) kufungua rasmi Mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi
na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika mashariki , uliozungumzia changamoto za
ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo
2050, katikati ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick, mkutano huo
umefanyika katika hotel ya Hytt Regencey Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam.
|
|
|
Afisa
Mtendaji mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa maendeleo Endelevu, Prof: Joseph
Semboja, (Kulia) akimkaribisha Makamou wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh, Balozi
Seif Ali Iddi, wa tatu toka kulia, kufungua rasmi Mkutano wa kikanda
uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika mashariki ,
uliozungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushuhulikia hali ya baadae ya
miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050, Kushoto ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,
Said Meck Sadick, na wa Pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ,
tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia , mkutano huo umefanyika
katika hotel ya Hytt Regencey Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam.
|
Afisa
mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa maendeleo Endelevu “Uongozi
Instutite”, Joseph Semboja, wa kwanza kushoto, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu , tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia, wa Pili toka kushoto
na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh, Balozi Seif Ali Iddi wakifuatia
mtoa mada hayupo Pichani wakati wa Mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi na
watunga Sera kutoka Nchi nza Afrika mashariki , uliozungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushuhulikia hali ya baadae
ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050, mkutano huo umefanyika katika Hotel ya hotel
ya Hytt Regencey Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam.
|
|
Mkurugenzi
wa Mistra Urban Futures Prof , David Simon, akifafanua jambo wakati wa mkutano
wa wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi nza Afrika
mashariki , uliozungumzia changamoto za ukuaji
wa miji na kushuhulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050,
mkutano huo umefanyika katika Hotel ya hotel ya Hytt Regencey Kilimanjaro ya
jijini Dar es Salaam.
|
|
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh, Balozi Seif Ali Iddi, (kushoto) akimsikiliza
Gavana wa Khartum Sudan, AbdelRahman Alkhidir, wakati wa mkutano wa kikanda
uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi nza Afrika mashariki ,
uliozungumzia changamoto za ukuaji wa
miji na kushuhulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050,
mkutano huo umefanyika katika Hotel ya hotel ya Hytt Regencey Kilimanjaro ya
jijini Dar es Salaam.
|
|
Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (kulia) akifafanua jambo kwa Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mh, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) wakati wa mkutano
wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi nza Afrika mashariki
, uliozungumzia changamoto za ukuaji wa
miji na kushuhulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050,
mkutano huo umefanyika katikati ni Gavana wa Khartum Sudan, AbdelRahman
Alkhidir. Mkutano huo umefanyika katika Hotel ya hotel ya Hytt Regencey Kilimanjaro
ya jijini Dar es Salaam.
|