Kaimu meneja
wa bia ya Serengeti Premium Lager, Eliuruma Ngowi, (katikati) akiongea kwa simu
ya mkononi na mshindi wa pili wa shindano la “Tutoke na Serengeti” wakati wa
kuchezesha shindano hilo ambapo , Deogratius Peter, toka Rombo Kilimanjaro ameibuka
mshindi, (kulia) ni mkaguzi mwandamizi toka bodi ya michezo ya kubahatisha,
Mrisho Millao na kushoto ni Meneja mwendeshaji wa kanda Serengeti , Malalia Mmassy. Hafla ya
kuchezesha shindano hilo ilifanyika makao makuu ya Serengeti jijini Dar es
Salaam.
|