KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Friday, October 24, 2014

VODACOM YAZINDUA DUKA JIPYA

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa wa kwanza toka kulia pamoja na Meneja wa duka hilo, Irene Njovu na Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Hassan Saleh wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa duka jipya na la kisasa la Vodacom Tanzania,lililopo Quality Centre katika   barabara ya Nyerere ambalo ni moja ya kituo kikubwa cha biashara jijini Dar es Salaam


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa (katika) akiangalia moja ya Simu zinazouzwa katika duka jipya la na la kisasa la Vodacom lililopo Quality Centre katika   barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam,mara baada ya kuzindua rasmi duka hilo, kushoto  ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia na kushoto kwa Meya ni Ofisa Mkuu wa Idara ya Uuzaji na Usambazaji wa Vodacom Hassan Saleh na kulia ni Mkuu wa Idara ya Uuzaji na usambazaji bidhaa wa kampuni hiyo Upendo Richard

No comments:

Post a Comment