Naabil Hosea
na Aisha Abubakari wakiwa katika Nyuso za furaha mara baada ya kufunga Ndoa yao
takatifu.
|
Bwana harusi
akiindia nyumbani kwa Mzee, Abubakari tayari kwa kuoa.
|
Imam akipata
ridhaa ya kufungisha ndoa toka kwa Bi Aisha Abubakari ambaye ni Bi Harusi.
|
.Wacha niweke Ubani kazi ianze |
Bwana harusi
Naabil Hosea(kulia) , akifungishwa ndoa na kaka wa Bi harusi.(kushoto) katikati
ni imam mfungishaji Ndoa .
|
Dua inafanyika baada tu ya ndoa kufungwa |
Mkono wa pongezi |
.bwana
harusi, Naabil Hosea wa pili kutoka kulia akipoz kwa Picha ya pamoja na shemeji
zake baada ya ndoa kufungwa , nyumbani kwa bia harusi kinondoni jijini Dar es
Salaam.
|
Mkono mtupu
haulambwi , toa kitu umwone mkeo , mambo ya dada wa bi harusi .
|
.Dua kwanza mama, tayari nimekua |
sahihi
katika vyeti, bi Aisha akisaini cheti chake cha ndoa
|
Bwana harusi kisaini cheti cha ndoa |
maharusi wakipokea shahada zao za ndoa. |
No comments:
Post a Comment