KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Sunday, October 19, 2014

SERENGETI FIESTA LAFANA

.Mkurugenzi mkuu wa kampuni nya Bia ya Serengeti, Steve Gannon (kulia) akisalimiana na nyota wa  muziki wa bongo fleva , Diamond Platznam, wakati wa tamasha la Serengeti Fiesta, lililofanyika katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar  es Salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii , Lazaro Nyalandu,akisalimiana na Staa wa muziki wa Bongo fleva, Diamond Platznum wakatri was tamasha la Serengeti fiesta lililofanyia katika viwanja vya Leaders Club.

Msanii Davido akiwa na waziri wa maliasili na Utalii , Lazaro Nyalandu, wakati wa tamasha la Serengeti fiesta lililofanyika katika viwanja vya Leadars club jijini Dar es Salaam.

Diamond Platnum akilitawala jukwaaa katika tamasha na kukonga nyoyo za mashabiki wakati wa tamasha la Sereneti Fiesta jijini dar es salaam.

. Diamond na  Dovido wakikonga nyoyo za mashabiki

Msanii wa kimataifa, wa muziki wa Hip pop, Clifford Harris, T I toka marekani akionyesha kumiliki jukwaa la Serengeti fiesta wakati wa tamasha hilo lililofanyika katika viwanja vya Leadars Club jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment