KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Saturday, October 18, 2014

HATARI HI.............!

 
Bajaji ikiteketea kwa moto baada ya kugongwa na lori (haliko pichani)  leo asubuhi katika barabara iendayo kiwanda cha saruji Wazo jijini Dar es Salaam, Dereva wa bajaj na abiria wake walijeruhiwa na kukimbizwa hospital.




No comments:

Post a Comment