KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Tuesday, October 21, 2014

MASHABIKI WA SERENGETI FIESTA

 
Mmoja wa mashabiki wa bongo fleva, akipoz kwa Picha na msanii, Victoria Kimani wakati wa tamasha la Serengeti fiesta, Leaders Club kinondoni.


Mashabiki wa Muziki wa kizazi kipya wakishangilia katika tamasha la Serengeti fiesta lililofanyika Leaders Club kinondoni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment