Kaimu Mkuu wa Masoko
na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa akikabidhi cheti kwa
Rasuli Mikidadi (kulia), mmoja wa wahitimu wa mradi wa Kuendeleza Vijana
Kiuchumi Dar es Salaam katika mahafali yao yalifanyika Chuo cha ufundi stadi
cha Future World, Gongo la mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo.
Kulia kwa Rukia ni Mkuu wa Future World, Robert Mkolla na Meneja Huduma za
Jamii wa NBC, Irene Peter. Mradi huo umefadhiliwa na NBC kwa kushirikiana na
Shirika la Plan International.
|
No comments:
Post a Comment