Meneja
Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe akizungumza katika warsha hiyo. |
Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo. |
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC walioshiriki warsha hiyo wakifanya mafunzo kwa njia ya michezo |
Wafanyakazi wa kitengo cha masoko cha benki ya NBC wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzao waliowaalika katika warsha hiyo |
Mkurugenzi
Mtendaji wa Muda wa Benki ya NBC, Pius Tibazarwa (wa sita kushoto, waliosimama)
akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi walioshiriki warsha hiyo. |
Washiriki wa
warsha hiyo wakibebana katika mchezo wa kuvuka ‘daraja’ ikiwa ni sehemu ya
mafunzo kupitia michezo katika warsha hiyo. |
Washiriki wa
warsha hiyo wakifanya moja ya michezo ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao ya
kujengeana uwezo na mshikamano katika hafla hiyo. |