Meneja wa Benki ya NBC Tawi la
Kibaha, Asia Chambega (wa pili kulia) akikabidhi msaada wa mafuta maalumu ya
ngozi kwa mmoja wa wawakilishi kutoka Chama Cha Albino Tanzania Mkoa wa Pwani,
Haika Ngowo, katika hafla ambayo NBC pia ilikikabidhi msaada wa hundi ya shs
milioni 3.2, pikipiki, kompyuta na kofia vikiwa na lengo la kuwasaidia na
matatizo yanayowakabili kutokana na hali hiyo inayotokana na kurithi vinasaba
kutoka kwa wazazi. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Wengine ni
baadhi ya maofisa wa NBC na kutoka chama cha albino.
|
No comments:
Post a Comment