Kaimu
meneja chapa wa Serengeti Premium Lager, Elihuruma Ngowi, akiongea na waandishi
wa habari, hawapo Pichani wakati wa kuchezesha droo ya Saba ya Shindano la
Tutoke na Serengeti la kumtafuta mshindi
wa tano ambapo Mfaume Hassan mkazi wa mbagala ambaye ni derive Taxi, ameibuka
mshindi wa Limo Bajaji yenye thamani ya tsh milioni tisa. Kulia ni msimamizi
toka bodi ya michezo ya kubahatisha , Chiku Salehe. Droo hiyo ilifanyiak makao
makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
|
Kaimu
meneja chapa wa bia ya Serengeti Premium Lager, Eliuruma Ngowi, akimkaribisha
Godfrey Longino, mmoja wa washindi wa Limo Bajaji ambaye alifika kushuhudia droo
ya saba namna shindano la tutoke na Serengeti linavyoendeshwa na kampuni ya bia
ya Serengeti. Makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
|
|
1.
Kaimu
meneja chapa wa bia ya Serengeti Premium Lager, Elihuruma Ngowi akibonyeza batani
ya kompyuta, wakati wa kuchezesha droo ya saba ya tutoke na Serengeti wakati wa
kumtafuta mshindi wa tano wa Limo Bajaji, katika Shindano la “Tutoke na
Serengeti” linaloendeshwa na kampuni hiyo, katikati ni msimamizi toka bodi ya michezo ya
kubahatisha , Chiku Salehe. Na kulia ni Godfrey Longino, mmoja wa washindi wa
shindano hilo akishuhudia namna shindano hilo linavyoendeshwa. Droo hiyo
ilifanyika Makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
|
|
Kaimu
meneja chapa wa bia ya Serengeti Premium Lager, Elihuruma Ngowi (kushoto) na,
msimamizi toka bodi ya michezo ya kubahatisha ,Chiku Salehe na mmoja wa
washindi wa Shindano la Tutoke na Serengeti, Godfrey Longino, wakifurahi baada
ya kumpata mshindi wa tano wa Limo Bajaji katika, ambapo Mfaume Hassan ameibuka
mshindi ambaye ni Dreva Tax na mkazi wa mbagala jijini Dar es Salaam. Hafla
hiyo ilifanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
|
|
Pichani
ni baadhi ya waandishi wa habari wakifatilia jambo wakati wa kuchezesha droo ya
saba ya shindano la “Tutoke na Serengeti”, liliyochezwa makao makuu ya kampuni
hiyo jijini Dar es Salaam, ambapo dereva tax Mfaume Hassan, amejishindia Limo
Bajaji ambaye ni mkazi wa mbagala jijini.
|
|
Kaimu meneja chapa wa bia ya Serengeti Premium Lager,
Elihuruma Ngowi akiongea kwa simu na mshindi wa limo bajaji, wakati wa
kuchezesha droo ya saba ya “Tutoke na Serengeti” katikati ni msimamizi toka
bodi ya michezo ya kubahatisha , Chiku Salehe. Na kulia ni Godfrey Longino,
mmoja wa washindi wa shindano hilo akishuhudia namna shindano hilo
linavyoendeshwa. Hafla hiyo ilifanyika Makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar
es Salaam. |
Kaimu meneja
chapa wa bia ya Serengeti Premium Lager, Elihuruma Ngowi akifafanua jambo,
wakati wa kuchezesha droo ya saba ya “Tutoke na Serengeti’ wakati wa kumtafuta
mshindi wa tano wa Limo Bajaji, katikati ni msimamizi toka bodi ya michezo ya
kubahatisha , Chiku Salehe. Na kulia ni Godfrey Longino, mmoja wa washindi wa
shindano hilo akishuhudia namna shindano hilo linavyoendeshwa. Droo hiyo
ilifanyika Makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.