Mtangazaji
wa Clauds Fm, Abel Onesmo, kulia akifafanua jambo wakati wa ziara ya washindi
wa Mfalme Chui wa Serengeti Fiesta toka mikoa yote iliyofanyika tamasha hilo,
walipotembelea studio ya Clauds Fm iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Mpigapicha
Mkuu wa Blog hii , David Mwakasita, (kulia) akipoz kwa Picha na baadhi ya
watangazaji mahili wa Clauds Fm, wakati washindi wa Mfalme Chui wa Serengeti
fiesta walipotembelea studio hiyo iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment