KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Wednesday, May 30, 2018

CHUO KIKUU DAR, SWEDEN WAJADILI NJIA ZA KUFUNDISHIA.

 Mkurugenzi wa KTH, Institute of Technology University Management, Profesa Roman Wyss  akifafanua jambo kwenye Mkutano wa mwendelezo wa kutekeleza  njia za kufundisha, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika secta ya mawasiliano kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Sweden (KTH)  katika hafla iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mhandisi Dk Hamisi Ndetyabura (kulia)  akifafanua jambo kwenye Mkutano wa mwendelezo wa kutekeleza  njia za kufundishia katika sekta ya Mawasiliano kwa kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Sweden (KTH), katika hafla iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

 UDSM ICT Incubator (UDICTI) Acting Coordinator, Collage of ICT, Christine Mwase, explain something during the conference of ICT held in Dar es Salaam today. 

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Hamisi Ndetabura (kulia), akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa KTH,  Roman Wyss (katikati) na Research Engeneer, Mats Leksell (kushoto) katika Mkutano wa mwendelezo wa kutekeleza  njia za kufundisha, chuo kikuu cha Dar es Salaam katika sekta ya mawasiliano kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Sweden (KTH)  DSM uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dk Hamisi Ndetabura (kushoto), akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa KTH,  Proffesor Roman Wyss katika Mkutano wa mwendelezo wa kutekeleza  njia za kufundisha, uliofanyika leo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Secta ya Mawasiliano kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Sweden (KTH).



Thursday, January 18, 2018

MWANADADA AIBUA ZAIDI YA MILIONI 10. MLIMANI CITY

Meneja wa duka la Mlimani city, Pastory  Mrosso (kulia)  akimpongeza mshindi wa vifaa vya nyumbani toka dukani hapo , Johari Habibu (katikati) baada ya kujishindia vifaa hivyo katika droo iliyoendeshwa dukani hapo kwa wateja wake, wakati wa hafla ya kumkabidhi zawadi zake zenye thamani ya tsh milioni 10.  kushoto ni Meneja uendeshaji wa duka hilo Girish Kumar.

 
Meneja wa duka la Mlimani city, Pastory  Mrosso (katikati)  akimpongeza, Johari Habibu (kushoto) baada ya kujishindia zawadi zenye thamani ya tsh milioni 10. katika droo iliyoendeshwa dukani hapo kwa wateja wake, makabidhiano hayoyalifanyika dukani hapo jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja uendeshaji wa duka hilo Girish Kumar.

 
Meneja wa duka la Mlimani city, Pastory  Mrosso (katikati)  akimkabidhi Tv aina ya Panasonic moja ya zawadi zenye thamani ya tsh milioni 10. Johari Habibu (kulia) baada ya kujishinda katika droo iliyoendeshwa dukani hapo kwa wateja wake, makabidhiano hayo yalifanyika dukani hapo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Meneja uendeshaji wa duka hilo Girish Kumar.

 Meneja wa duka la Mlimani city, Pastory  Mrosso (kushoto)  akimkabidhi deki ya Sony home theatra ikiwa ni moja ya zawadi zenye thamani ya tsh milioni 10. Johari Habibu (kulia) baada ya kushinda katika droo iliyoendeshwa dukani hapo kwa wateja wake, makabidhiano hayo yalifanyika dukani hapo jijini Dar es Salaam.

Wednesday, December 6, 2017

NEW TOTAL OFFICES IN DAR ES SALAAM

The President of Total Momar Nguer (second light) marketing and services in the presence of Total m & s management commitee, cutting a libon to mark official opening of the new offices Dar es Salaam




Sunday, November 6, 2016

HARUSI YA OSCER NA IRENE YAFANA

 Oscar na Irene wakipozi kwa Picha , baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la kiinjili la kilutheli KKKT, Usharika wa Mbagala.

Wakifuatilia ibada ya Ndoa

Wakifuatilia ibada ya Ndoa

Oscar akiimvisha pete mke wake

  Irene akmvisha pete Oscar

pokeeni Baraka ya bwana Mungu

wakipokea cheti cha ndoa

Irene akiweka saini kwenye cheti cha Ndoa , katika kanisa la KKKT, usharika wa Mbagala.

Oscar akisaini cheti cha Ndoa







wakipoz kwa Picha ya pamoja na marafiki zake wa ukweli