KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Wednesday, October 29, 2014

ZIARA YA WAZIRI WA FEDHA

Waziri wa fedha wa Marekani, Jacob J. Lew, akiwa katika picha ya pamoja na askari waliotekeleza ulinzi wakati wa ziara yake hapa nchini, kabla ya kuondoka jijini Jumanne jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency, The Kilimanjaro Hotel, jijini Dar es Salaam.



No comments:

Post a Comment