KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Friday, October 31, 2014

AJALI MBAYA DARAJA LA WAMI

Ajali mbaya imetokea eneo la daraja la Wami basi la Simba Mtoto na Lori baada break za Lori kufeli,
Dereva wa Lori amepoteza maisha hapohapo.

 


.Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga likiwa limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani,dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.tutaendelea kupeana taarifa zaidi hapo baadae.
3.


No comments:

Post a Comment