KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Tuesday, September 16, 2014

HAMZA KALALA

Mwanamuziki mkongwe hapa nchini Komandoo Hamza Kalala `Mzee wa Madongo' (kushoto)  akizungumza leo na waandishi wa habari wakati akijitambulisha kujiunga na kundi Utalii Sound Band. Kalala ameshapitia bendi za Uda Jazz, Vijana Jazz, Washirika, Bantu Group `Kasimbago Kaabuka'

Mwanamuziki mkongwe hapa nchini Komandoo Hamza Kalala `Mzee wa Madongo' (kushoto)  akizungumza leo na waandishi wa habari wakati akijitambulisha kujiunga na kundi Utalii Sound Band. Kalala ameshapitia bendi za Uda Jazz, Vijana Jazz, Washirika, Bantu Group `Kasimbago Kaabuka' (Picha na Cosmas Mlekani)