KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Wednesday, October 29, 2014

RAIS WA ZAMBIA AMEFARIKI DUNIA

Rais wa Zambia Michael Sata amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa ambao haukuelezwa. Taarifa kutoka Zambia zimeeleza Rais Sata, aliyekuwa akitibiwa Uingereza kwa wiki kadhaa zilizopita, amefariki dunia jana usiku.


No comments:

Post a Comment