KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Sunday, August 18, 2013

Elizabeth Engagement Party

 
Elizabeth Marisha (kushoto) akiwa  pamoja na wadogo zake wakati wa hafla ya kuvalishwa Pete ya uchumba iliyofanyiak jana katika Hoteli ya Southern Sun  jijini Dar es Salaam.

Elizabeth Marisham akiteta jambo na Samwel ambaye ni Mme wake mtarajiwa wakati wa hafla ya kuvishwa Pete ya uchumba, iliyofanyika jana katika Hoteli ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.

Elizabeth Marisham akipoz kwa Picha na Mama yake Mzazi.

Samwel (kulia) akimvisha Elizabeth Marisham Pete ya Uchumba, hafla iliyofanyika katika Hotel ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.

Samwel (kulia) akimvisha Elizabeth Marisham Pete ya Uchumba, hafla iliyofanyika katika Hotel ya Southern Sun jijini Dar es Salaam.

 
Furaha iliyoje hayawihayawi, sasa yamekua , hongera sana dada Eliza.

: Nipotezeeeni, ni wa Samwel tu…….!

Cheers…!