KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Tuesday, September 9, 2014

KILIMO KWANZA MINGOYO SEKONDARI LINDI



Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mingoyo mjini Lindi wakielezea namana ya aina mpya ya kilimo cha mbogamboga kwa kutumia mifuko ya viroba. Kilimo ambacho wamedai ni cha gharama nafuu na chepesi.