Hivi ndivyo
shisha inavovutwa , kijana Pascal akionesha umairi wake katika kuvuta Shisha.
|
Wadau wa Imagepowermedia blog wakijinafasi. |
Hongera sana
Bw. Pascal P Ibondo wa tatu kushoto kwa kufanikisha sherehe ya kumtoa Mtoto
yaani 40.
|
Mr & Mrs
Pascal wafurahi na kijana wao baada ya tafrija ya kumtoa dogo iliyofanyika kwa
Marisham Kinondoni jijini Dar es Salaam.
|
aaaaaaaaaaah
wewe cameraman na hapa je……! sisi ni washkaji wa Pascal .
|
Mabaunsa mlangoni na kazi na dawa , kula kama kawa. |
Karim na
vema yake nae alikuwepo.
|
Hongera
mwanetu kwa kulea.
|
Rose (
kushoto) akimpongeza kaka yake kwa kumlete wifi na Shangazi
|
kushto Maria
akimtunza wifi , mambo ya silva bana.
|
Wifi weeeee,
tumependeza eeeeeeeh…..!
|
Mapaparazi
nao walikuwepo kiufundi zaidi
|
wadau wa
imagepowerblog katika Picha.
|
Kumbe na
huyu alipombeka bana
|