Mc Sipompapompa akiongoza MC’S wanawake wa chama cha washereheshaji ( SAA) kwenye Sherehe ya Kitchen Party ya Lilian Mwambeleko Iliyofanyiaka Jijini |
Lilian
akimlisha Bibi yake Mlezi, Mrs Mashamba wakati wa Kitchen Party yake
iliyofanyika Katika Ukumbi wa Urafiki Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
|
Kula na wewe
mjikuu………..vp tamu…………!
|
Mwenyekiti
wa kamti ya maandalizi akilishwa keki kupongezwa kwa kazi ya kufanikisha
kusimamia Sherehe.
|
tunakupenda
Sana Bibi….!
|
Mama Mlezi
wa Lilian akipozi kwa Picha na Lilian na dada ake Edisa.
|
Mjukuu wangu
pokea zawadi ya kikapo hiki nilichosuka mwenyewe , kazi ya mikono yangu.
|
MC Kolumba
akionyesha umahili wake katika hafla ya kumpongeza Lilian kwa Kitchen Party
iliyofanyika jijini Dar.
|
Wifi zake na
Lilian wafanya vituz ….!
|
Wana SAA
Wakipoz kwa Picha ya Pamoja na Lilian wakati wa Hafla ya kumpongeza
iliyofanyika mwishoni mwa wiki Jijini Dar es Salaam.
|
Sisi
ni Marafiki wewe …….wa Ukweeeee ……………!
|
Mdogo wetu Umetufuraisha sana , wacha tukubebe kidogo |
Maaakuli
yalikuwepo !
|
Mambo
ya kutafuta riziki bana….!
|
Camera ya
Image Power Media Kazini……….!
|